Angalia matokeo, chapisha ripoti, na soma matangazo ya shule — kwa urahisi na kwa mpangilio.
Tazama performance ya darasa na mpangilio wa wanafunzi kwa urahisi.
Ripoti za wiki/mwezi/muhula kulingana na mfumo wa shule.
Backup, audit trail, na udhibiti wa access kwa roles.
Taarifa za mikutano, ratiba, mitihani na maelekezo ya uongozi.