Angalia matokeo, chapisha ripoti, na soma matangazo ya shule — kwa urahisi na kwa mpangilio.
Tazama performance ya darasa na mpangilio wa wanafunzi kwa urahisi.
Ripoti za wiki/mwezi/muhula kulingana na mfumo wa shule.
Backup, audit trail, na udhibiti wa access kwa roles.
Taarifa za mikutano, ratiba, mitihani na maelekezo ya uongozi.
Uhakiki wa alama, uchapishaji wa ripoti, na uwasilishaji wa taarifa rasmi.
Matokeo binafsi, taarifa za darasa, na kumbukumbu za vipimo/mitihani.
Ufuatiliaji wa maendeleo na upatikanaji wa ripoti kwa wakati.